Features/Analysis
Benki ya CRDB imekabidhi jumla ya madawati 40 kwa Shule ya Msingi Ushetu
Benki ya CRDB imekabidhi jumla ya madawati 40 kwa Shule ya Msingi Ushetu iliyopo Wilaya ya Mbogwe, Mkoa wa Geita, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kampeni yake ya “Keti Jifunze” inayolenga kuboresha mazingira ya […]
