Habari & Matukio
Shule Zote Kufungwa Tarehe 13 Novemba 2026
Kamishna wa Elimu nchini, Dkt. Lyabwene M. Mtahabwa ameelekeza kwamba, Shule zote zifungwe tarehe 13 Novemba 2026 kwa muhula unaoishia Desemba, 2026 badala ya tarehe 04/12/2026 kama ilivyokuwa imeelekezwa awali katika nyaraka za Elimu zilizotolewa […]
