Ubao wa Matangazo
TANGAZO LA MAFUNZO YA ‘DIGITAL MARKETING COURSE’
(SPONSORED). Utafutaji wa masoko wa kisasa unafanywa kidigitali. Hata hivyo usipokuwa na ujuzi wa kutosha utatumia pesa nyingi mtandaoni bila kuwa na matokeo chanya. Hapo ndipo DSJ inapokukutanisha na uweledi wa kufanya masoko kidigitali. Fedha […]
