(SPONSORED). Wiki ya Vijana kitaifa itafanyika Sumbawanga, kuanzia tar 08/10 na itazinduliwa rasmi tar 10/10/2026 mgeni rasmi anatajiwa kuwa Mhe Waziri Mkuu wa JMT, na itendelea hadi siku ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru tar 14/10/2026.
Wiki hiyo patakuwa na fursa kwa vijana kufanya, kushiriki na kuonyesha ubunifu, vipaji, Uwekezaji na Ujasiriamali mbalimbali na kujifunza vitu vipya. Wadau mbalimbali yakiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali watakuwepo katika maadihimiso hayo. Kwanini wewe ukose. Mazingira Tofauti, Fursa Sawa kwa vijana.

Be the first to comment