Habari & Matukio
Ratiba Mitihani ya Taifa Kusogezwa Wadau Wasema ni Uamuzi Sahihi
Baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutangaza marekebisho ya ratiba ya upimaji na mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kwa lengo la kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kutokana na uwezekano wa mvua kubwa za […]
